GET /api/v0.1/hansard/entries/1419262/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419262,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419262/?format=api",
"text_counter": 314,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika wa Muda, najua ndugu yangu anakielewa Kiswahili sana, lakini sio sawa alivyosema kuwa “macho huingia takataka”. Macho huingia vumbi ama mchanga. Akisema macho inaingia takataka, makaratasi yataingia kwenye macho? Je, ni sawa kwa ndugu yangu kusema takataka zinaweza kuingia kwenye macho?"
}