GET /api/v0.1/hansard/entries/1419491/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419491,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419491/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Hoja ya Sen. M. Kajwang’ ya kufanya marekebisho ya Hoja ya Sen. Olekina kuhusiana na malumbukizi ya madeni. Imekuwa muda mrefu sasa tunazungumzia maswala ya madeni ambayo yako katika kaunti zetu na ambayo yamefikia zaidi ya Kshs60 bilioni. Ripoti za auditor zimekuwa zikizungumzia malumbukizi haya ya madeni lakini hakujakuwa na mwafaka wowote ama jambo lolote ambalo Seneti imeweza kufanya kuhakikisha ya kwamba madeni haya yanapungua na vile vile pia yanakuwa mambo ya kusahau. Marekebisho haya yatatoa nafasi kwa Seneti na vile vile kwa Controller of"
}