GET /api/v0.1/hansard/entries/1419606/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419606,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419606/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Wakati wa kulifanya tendo la ndoa, kuna mambo ambayo tulikuwa tunaambiwa tutazame kabla ya kuenda kwa tendo hili. Katika vyuo vikuu wanafunza elimu ya Human Immuno Deficiency Virus (HIV)/Aids au Ukimwi. Wanaelezwa kuwa kabla ya kufanya mapenzi basi ni vyema kuangalia zana zile zinazotumika katika matendo ya ngono. Kwa mfano kabla ya mwanamme kufanya tendo lile anafaa kuchunguzwa kama ana hali ya afya ya kutosha au ana maambukizi ya virusi vya ukiwmi, fangasi au ya bakteria."
}