GET /api/v0.1/hansard/entries/1419607/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419607,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419607/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Hili ni swala ambalo limekua na hamasisho kwa kina mama ambao hawajapata mimba. Wanaelezwa kabisa kwamba ukifanya mapenzi, unafaa kuwa na afya njema bila maambukizi pamoja ya yule mwamaume unayechagua ili mtoto naye pia na afya njema. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}