GET /api/v0.1/hansard/entries/1420309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1420309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420309/?format=api",
"text_counter": 362,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13586,
"legal_name": "Alexander Mundigi Munyi",
"slug": "alexander-mundigi-munyi"
},
"content": "Bw. Mwenyekiti, ningetaka kumwambia Seneta mwenzangu kuwa wakati tulikuwa tunaibuni Hoja hii wakati huu wa demokrasia halisi, tuliona ni vizuri mtu awe akiuza vitu vyake pahali anaona ni pazuri naye. Unaweza mwambia apeleke miwaa zake upande huu, lakini yeye anapendelea upande ule mwingine kwa sababu ya bei ya nafuu. Kwa hivyo, hatukuona ikiwa vibaya na tuliona na vizuri kuwe namna hiyo."
}