GET /api/v0.1/hansard/entries/1420695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1420695,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420695/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "ambaye certificate yake ilifika huko, anakaa akingoja pesa yake ilipwe ilhali pesa yake ilishalipwa katika ofisi ya CoB; a ccount number na jina za kampuni ziko huko na pia, jina na sahihi ya mwenye kutayarisha hiyo certificate kwa kaunti ziko huko. Kitu kimoja ambacho kinasababisha contractors na suppliers katika kaunti kuangamia ni kwamba pesa zao zinakuwa diverted . Zinabadilishwa kutoka kwa kampuni yao na zinalipwa kampuni nyingine. Niko na ushahidi kutoka Ofisi ya CoB. Kwamba, kuna kampuni za contractors na"
}