GET /api/v0.1/hansard/entries/1420974/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1420974,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420974/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia kidogo kuhusu Taarifa kuhusu ajali za barabarani. Ajali za barabarani zinaweza kupunguzwa ikiwa sharia itafuatwa kikamilifu. Sharia ya kwanza ambayo haifuatwi kikamilifu ni ufungaji wa mikanda ya usalama ndani ya magari. Watu hawapendi kufunga mikanda ya usalama ilhali ni kitendo ambacho kinaweza kuokoa maisha. Ni muhimu sana---"
}