GET /api/v0.1/hansard/entries/1421163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1421163,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421163/?format=api",
"text_counter": 48,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Thank you, Bw. Spika. Yangu ni kumuliza Waziri kulingana na Serikali ya Kenya Kwanza kuhusu mambo ya Kaunti. Kutoka Nairobi hadi Makutano ni kilomita 100, ni highway na tunasafiri kwa kilomita 40. Kutoka Makutano, Mwea, Embu, Tharaka-Nithi hadi Meru ni masaa matatu."
}