GET /api/v0.1/hansard/entries/1421164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1421164,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421164/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kingi",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Sen. Mundigi, nimetoa kauli mwanzoni kwamba, Swali ambalo Maseneta watauliza ni lazima liwe na uhusiano na lile ambalo liliulizwa mwanzo na Seneta Wambua. Kwa hivyo, usiulize swali ambalo halina uhusiano na lile ambalo limeulizwa mwanzo. Endelea."
}