GET /api/v0.1/hansard/entries/1421390/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1421390,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421390/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Murkomen",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Roads and Transport",
"speaker": {
"id": 440,
"legal_name": "Onesimus Kipchumba Murkomen",
"slug": "kipchumba-murkomen"
},
"content": " Sen. Olekina, yeye amekwama kwenye masuala ya barabara hii tangu tuwe mashinani naye na tukiwa hapa kwenye Bunge. Ninampongeza kwa sababu anaendelea kusukuma masuala ya hiyo barabara lakini ninamwomba atupe muda mchahe tutafute hela ndiposa tuweze kumrudisha yule contractor . Sio yeye peke yake. Seneta wa Kaunti ya Kisii, Seneta wa Nyamira na viongozi kutoka sehemu hiyo kama vile Bomet, wamekuwa wakinisukuma kuhakikisha ya kwamba barabara hiyo imefunguliwa kwa sababu ile njia ya Maai Mahiu inawaletea shida kubwa sana. Asante."
}