GET /api/v0.1/hansard/entries/1421952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1421952,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421952/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Maseneta, wakati umewadia wa kupiga kura ya mgawanyiko wa Hoja ya Kuidhiniswa kwa Ruzuku yenye Masharti kwa Ujenzi wa Uwanja wa Manispaa ya Mombasa. Kura zitapigwa kielektroniki. Kwa hivyo, mwanzo, ninataka niwasihi Maseneta wote mtoe kadi zenyu katika mitambo ya kupigia kura kisha Mpambe tafadhali uhakikishe kwamba hakuna kadi yoyote imebaki katika kile kishimo cha kuingiza kadi. Ukimaliza unipe ishara. Maseneta, mnaweza sasa kuweka kadi zenyu katika kile kishimo cha kupiga kura na kabla hamjaanza kupiga kura, nataka niweke swali ambalo mtalipigia kura na baadaye muanze kupiga kura. Swali lenyewe ni kama lifwatavyo- KUFAHAMU KWAMBA Sehemu ya 2 ya Ratiba ya Nne ya Katiba ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}