GET /api/v0.1/hansard/entries/1423324/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1423324,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1423324/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wengine wakisema kwamba hata Members of County Assembly (MCAs) wakipewa pesa, ipelekwe kwa NG-CDF. Tukashindwa, kazi yao ni gani? Wametupea aibu. Ni sisi Maseneta ambao tunapaswa kujua kama magavana wanafanya kazi au hawafanyi kazi."
}