GET /api/v0.1/hansard/entries/1424202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1424202,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424202/?format=api",
"text_counter": 626,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "na hata pia, Mhe. Musalia Mudavadi. Tumetembea hadi mashinani kama vile Machakos na kona zingine. Ni jambo la kuhuzunisha sana kwa sababu ni miaka 25 tangu hicho kitendo kifanyike. Kama ni ajali au mambo mengine, huwa hayamalizi miaka tatu au nne kama watu hawajafidiwa. Hili ni jambo lililofanywa kwa Serikali ya Kenya na watu wa nje. Ndio maana tunasema ya kwamba, Serikali ya Kenya Kwanza ambayo inafanya kazi na inajali mwananchi, iungane na USA ili hicho kilio cha hao watu kiweze kusikika."
}