GET /api/v0.1/hansard/entries/1424271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1424271,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424271/?format=api",
"text_counter": 19,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, nilikuwa na swali kwa Waziri anayehusika na mambo ya kilimo. Nilikuwa nataka kumuuliza kuhusu mashamba ambayo yameathiriwa na maji na hatua ambazo Serikali imechukua ili kusaidia wananchi kuanza upya. Nilitoka Kuanti ya Tana River jana usiku. Wananchi pia wanauliza maswali haya. Niliwaambia kuwa Waziri atahudhuria kikao hiki. Ni kitu gani muhimu zaidi kuliko"
}