GET /api/v0.1/hansard/entries/1424277/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424277,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424277/?format=api",
    "text_counter": 25,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, ni nini kinachomsumbua Waziri huyo? Juzi tu ametoka kwenye kitanzi na sasa anahepa Bunge hili. Nangoja ripoti ya Kamati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ili Seneti itoe maoni yake. Hatutaki mchezo wanaofanya kule kwenye “Bunge Ndogo”."
}