GET /api/v0.1/hansard/entries/1424279/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1424279,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424279/?format=api",
"text_counter": 27,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Bw. Spika, kama vile Seneta wa Tana River amesema, kuna jambo ambalo limetokea ambapo linastahili Waziri aje hapa. Kuna European Union Deforestation Regulations (EUDR) ambazo zinapendekeza kukomesha uuzaji wa kahawa katika nchi za nje. Sheria hiyo itaanza kutekelezwa mwezi ujao. Nilikuwa natarajia kuwa Waziri atahudhuria kikao hiki kwa sababu ifikapo mwakani, hatutaweza kufikia soko yetu kubwa kule ulaya kwa sababu ya kanuni za ukataji wa miti. Ingekuwa muhimu awe hapa ili ajibu maswali."
}