GET /api/v0.1/hansard/entries/1424283/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424283,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424283/?format=api",
    "text_counter": 31,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, ningemuliza swali Waziri wa Kilimo na Mifugo kama angekuwa hapa. Tangu wiki iliyopita, kumekuwa na vita kati ya wafanyibiashara. Wakulima wa miraa kutoka Kaunti ya Embu hawawezi kuiuza Mombasa na kaunti jirani. Serikali ya Kenya Kwanza ilitupatia pesa ili kuendeleza kilimo cha miraa. Swali langu kwake ni kuwa, je, ametusaidia vipi? Madereva wa lori zinazosafirisha mimea hiyo wanaitishwa pesa ambayo haistahili. Ni makosa makubwa sana yeye kutohudhuria kikao hiki."
}