GET /api/v0.1/hansard/entries/1424329/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424329,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424329/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Gataya Mo Fire",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hii ni miradi ambayo imeanzishiwa wakaazi wa huko na eneo la Tharaka limekumbwa na matatizo mengi sana ya maji. Ni mikakati gani ambayo Wizara yako inafanya kuhakikisha kuwa miradi hii imepata pesa kwa serikali?"
}