GET /api/v0.1/hansard/entries/1424402/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424402,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424402/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Gataya Mo Fire",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, swali langu ni kwamba, Waziri anajua vizuri sana kuwa hizo sehemu ni kame na tulikubaliana kutachimbwa visima. Je, Wizara inafanya nini ili kuhakikisha wale watu wamepata visima na maji safi ya kunywa?"
}