GET /api/v0.1/hansard/entries/1424493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424493,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424493/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Gataya Mo Fire",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Vile, Wizara inafanya juhudi gani kuhakikisha kwamba, walaghai, matajiri, mabwenyenye wanaopora watu na kuchimba madini huku wakiacha watu wakiwa na umaskini wanachukuliwa hatua? Toa taarifa kamili kuhusu juhudi Wizara inafanya kuhakikisha kwamba madini haya yanafaidi watu wa Kaunti ya Tharaka Nithi, na walaghai walioko watachukuliwa hatua gani?"
}