GET /api/v0.1/hansard/entries/1424495/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424495,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424495/?format=api",
    "text_counter": 243,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherarkey",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bi, Spika wa Muda, namshukuru Waziri kwa kutoa taarifa kuhusiana na suala la dhahabu kule Kerebe. Sifahamu kama Waziri anajua kuwa Kaunti ya Nandi inatoa kiwango zaidi cha dhahabu nchini kuliko Kaunti zingine."
}