GET /api/v0.1/hansard/entries/1424497/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1424497,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424497/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherarkey",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Waziri anafahamu kuwa kulikuwa na familia zilizokuwa na tatizo na wawekezaji kwenye eneo la Chemase? Sifahamu mbona Waziri hakuangazia jambo hili. Familia hizi zilikuwa na shida kutokana na wawekezaji hawa waliochukua mashamba yao wakiwa na malengo ya kuchimba migodi ya dhahabu kule Chemilil/Chemase. Kule Kaborogin eneo Bunge la Aldai, ni juhudi gani umefanya kuhakikisha familia hizi zimepata ridhaa kwa kutoa mashamba yao?"
}