GET /api/v0.1/hansard/entries/1424499/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424499,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424499/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherarkey",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Kuna kesi kadhaa zilizoko mahakamani, kuhusiana na malalamishi ya Shamba ambayo Kiongozi wa walio Wengi alikuwa amegusia. Wawekezaji wakora wanatumia ujanja kuhakikisha wameandika taarifa ambazo hunufaisha wawekezaji hawa na hapo baadaye familia hizi hazipati haki. Ingawa taarifa ya Waziri ni kutoka mwaka wa 2021, aangazie shida ambazo familia zinapitia kwenye maeneo ya Nandi."
}