GET /api/v0.1/hansard/entries/1424534/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424534,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424534/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Saa hii tuko na changamoto nyingi kuhusu mambo ya Base Titanium, lakini naomba kama tungepata mwekezaji mwengine aendelee na huu mradi kwa sababu kuna watu wetu ambao karibu watoe Kshs1,600 ambao wanafanya kazi katika ule mgodi. Kwa hivyo, natoa shukrani kwa niaba ya watu wa Kwale kwa sababu ulikuja kuzindua hiyo kamati ya post-mining . Tutakuunga mkono pamoja na kamati yako ili mtembee katika Kaunti ya Kwale kusikiliza wananchi wanasema nini kuhusu hii ardhi iliyochimbwa na madini. Asante sana, Waziri."
}