GET /api/v0.1/hansard/entries/1424545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1424545,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424545/?format=api",
"text_counter": 293,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ninataka kusaidia Waziri hata kama namuuliza swali. Wale Wabunge utapata kule chini watakupotosha lakini hakuna wakati Maseneta watakupotosha. Kwa hivyo, swali langu ni, je, watu wa Embu watafaidika aje na pesa mfukoni? Pia, umetuongezea pesa ngapi kwa hii bajeti inayo kuja? Kama hujatuongeza, unafanya nini ili watu wa Embu na Mbeere wa benefit na dhahabu mnayo pata?"
}