GET /api/v0.1/hansard/entries/1424564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424564,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424564/?format=api",
    "text_counter": 312,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bi. Spika wa Muda. Kwanza nampongeza Waziri kwa kufika kwa wakati. Niliuliza maswali haya wiki tatu zilizopita japo yanapaswa kujibiwa kwa muda wa wiki mbili. Waziri ameweza kuyajibu kwa wakati. Ningependa kuwajulisha wakaazi wanaoniangalia kutoka mwambao wa Pwani wa gatuzi sita kwamba sisi tunaoishi katika gatuzi hizi, tunaishi katika maisha ya uchochole."
}