GET /api/v0.1/hansard/entries/1424568/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424568,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424568/?format=api",
    "text_counter": 316,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Naomba nizungumze tu tafadhali. Shamba letu kubwa ni Bahari yetu. Naomba ikiwa kuna sheria ambayo inakutatiza, niko hapa, yuko Sen. Boy pale na wako wengine katika Bunge. Ninashukuru Rais William Samoei Ruto kwa hadhi aliyokuwa anaazimia akinitoa mimi kwa kuuza viazi na kunileta hapa Seneti. Hivi, yule aliye chini aweze kuja juu kwa sababu ilikuwa ruwaza ya Rais kuona “mahustler” wakiwa wamepata hadhi katika maeneo wanayofanyia biashara zao. Asante, Bi. Spika wa Muda na asante, Bw. Waziri. Hongera sana kwa kufika."
}