GET /api/v0.1/hansard/entries/1424570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424570/?format=api",
    "text_counter": 318,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Salim Mvurya",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Mining and Blue economy",
    "speaker": null,
    "content": " Asanteni sana kwa sababu ya maswali mengi ambayo yameulizwa. Mengine yalifungamana na madini na mengine yana ufungamano ya Uchumi Samawati. Kama vile nimezungumza hapo mbeleni, nitayajibu vile yalivyoulizwa. Kwa sababu kama tungekuwa tumeangalia lile swali ambalo liliulizwa na Sen. Miraji peke yake, hatungekuwa na nafasi ya kuwa na upeo na ufasaha wa kuyaangalia maswala haya. Kuna swali lililoulizwa na Sen. Munyi Mundigi, Seneta wa Jimbo la Embu kuhusu madini yaliyoko kaunti hiyo. Tumetembea sehemu ile na tumegundua madini ya Coltan ambayo yanatumika kutengeneza vyombo vya mawasiliano kama vile simu na"
}