GET /api/v0.1/hansard/entries/1424572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1424572,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424572/?format=api",
"text_counter": 320,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Salim Mvurya",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Mining and Blue economy",
"speaker": null,
"content": ". Madini ya Coltan ni mchanganyiko wa Columbite na Tantalite na ndiposa tulipoyatangaza, ni madini ambayo tunataka yaongeze uekezaji katika sehemu za Kaunti ya Embu na sehemu zingine. Mheshimiwa amesema kwamba wakati ule mwingine asili mia ishirini ya mgao ilikuwa Kshs2 milioni kwa sababu hakukuwa na waekezaji ambao wanalipa. Ukiangalia ile Kshs2.6 bilioni ambayo tumegawa kwa kaunti 32, kwa zile kaunti ambazo zilikuwa na"
}