GET /api/v0.1/hansard/entries/1424574/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1424574,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1424574/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Salim Mvurya",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Mining and Blue economy",
    "speaker": null,
    "content": "waekezaji ambao walikuwa wanafuata sheria na kulipa, pia kima chao kimeweza kuwa kikubwa. Ndiyo maama sasa hivi tumesema kwamba tuweze kuingia mashinani na maafisa wetu kuona kwamba kila muwekezaji aweze kulipa. Hapo Kaunti ya Embu, tayari tumetuma maafisa zaidi, tumewatumia gari na tutatengeneza maabara ama testing and sampling labs in Embu County, so that you canhave easier testing. This testing can be converted into investments and incomes."
}