GET /api/v0.1/hansard/entries/1425091/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425091,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425091/?format=api",
"text_counter": 28,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "yetu kama Maseneta ni kupeleka mambo ya devolution mashinani kama vile kilimo, elimu na maji. Tunajua magavana waliochaguliwa wakati huu wa Serikali ya Kenya Kwanza wako na ujuzi wa kusaidia mwanachi hadi mashinani. Sen. M. Kajwang’, mkienda mjulishe kamati kwamba ile pesa tunataka iende mashinani ni ile ambayo mwananchi ametafuta kwa jasho na kulipa ushuru. Naomba muongee na wale viongozi wa Bunge ya Kitaifa ili tuweze kuona kaunti zetu zitapata pesa za kutosha ili zisaidie watu wetu. Naunga mkono hiyo kamati. Nina matumaini wataleta ripoti nzuri. Ni mimi daktari Alexander Munyi Mundigi."
}