GET /api/v0.1/hansard/entries/1425191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425191,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425191/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, ningetaka kuuliza kama ni haki kwa Sen. Mundigi kusimama ndani ya Bunge hili kutia sherehe kwa mmea ambao kulingana na Narcotic Drugs and Psychotropic Substances Control Act, ni dawa ya kulevya? Inahusiana na dawa ya kulevya. Na hata hapa Bungeni---"
}