GET /api/v0.1/hansard/entries/1425196/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425196,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425196/?format=api",
"text_counter": 133,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "The Deputy Speaker",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "Resume your seat. Huo mmea unatoka Mbeere kule Kaunti ya Embu umehalalishwa na Serikali ya Kenya katika Crop Act, 2013. Labda ulete sheria nyingine ya kuutoa kama mmea maalum kwa taifa la Kenya. Hapo ndio itakuwa kweli sio halali."
}