GET /api/v0.1/hansard/entries/1425313/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425313,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425313/?format=api",
    "text_counter": 250,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Napinga Mswada huu unaohusu mamlaka ya Senate na National Assembly. Hii ni kwa sababu wakati tulienda kwa uchaguzi, kila Mkenya alichagua Seneta na Wabunge. Tuko na maeneo Bunge 290 yanayowakilishwa na Wabunge na kaunti 47 zinazowakilishwa na magavana. Kwa mfano, kaunti ya Embu iko na maeneo Bunge manne na Kaunti ya Nairobi iko na 17. Pia kuna kaunti zingine kama vile Kiambu ambazo zina maeneo Bunge 12. Kwa hivyo, ni aibu kubwa kwa sababu Wabunge wako na hasira na ile kazi kaunti 47 zinafanya. Tunajua ya kwamba wanapewa pesa nyingi. Kwa mfano, eneo Bunge moja linalowakilishwa na Mbunge mmoja linapata shilingi milioni 160, shilingi milioni 60 za barabara na marupurupu mengine kwenye budget. Kazi anayostahili kufanya ni kulipa"
}