GET /api/v0.1/hansard/entries/1425346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425346,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425346/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kuwa Mswada huu unakiuka Katiba. Kuna maamuzi mengi ya mahakama ambayo yanasema kwamba ni kinyume na Katiba sheria kupitishwa na Bunge la Taifa bila kuhusisha Spika wa Seneti. Ikifanyika, sheria hiyo inafaa kubatilishwa. Maamuzi hayo yote yanasema kwamba lazima ushauri upatikane kutoka kwa Seneti kama Mswada unaathiri kaunti au la."
}