GET /api/v0.1/hansard/entries/1425349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425349,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425349/?format=api",
"text_counter": 286,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "kwa Kiingereza. Wakati Seneti inaangalia Miswada inayoletwa katika Bunge hili kutoka Bunge la Taifa, pendekezo katika sheria hii ni kwamba haifai kurudia uhusisaji wa umma. Uhusisaji wa umma katika Seneti unaangalia zaidi masuala ya ugatuzi. Kuna mambo mengi ambayo Bunge la Taifa huangalia lakini sio masuala ambayo yanahusiana na ugatuzi."
}