GET /api/v0.1/hansard/entries/1425352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425352,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425352/?format=api",
"text_counter": 289,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mwisho, mahakama ilisema kuwa ni lazima Mswada wa sheria lazima upelekwe Bunge la Seneti kwa uamuzi wa Spika kama sheria hiyo inaadhiri kaunti au la. Iwapo sheria hii itapita, suala hili la kikatiba litakuwa limeondolewa kwa mlango wa nyuma. Hii ni kwa sababu, sheria zote wangetaka kupitisha ambazo wameziorodhesha hapa katika Kifungu cha 12 zitakua hazina faida yeyote kwa Seneti."
}