GET /api/v0.1/hansard/entries/1425355/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425355,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425355/?format=api",
"text_counter": 292,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kuja hapa kujadili Mswada huu wakati hatujahusishwa ni kinyume na maadali yanayofaa kutumika wakati tunaangalia sheria kama hii. Kwa hivyo, tunapinga Mswada huu na kama Seneti, tunaukataa. Tukiupitisha, itakuwa ni kujitia kitanzi wenyewe, sisi kama Maseneta."
}