GET /api/v0.1/hansard/entries/1425444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425444,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425444/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa nafasi hii. Ningependa kuchangia taarifa ya bwawa la maji ambalo Seneta wa Kitui ameelezea. Ni muhimu Serikali inaporatibu na kuweka mipangilio ya kuwekeza katika sekta ya maji kuwahusisha washikadau wote kwa sababu wao ndio wamiliki wa rasilimali ambayo tunajadili sasa. Mwafrika ni mtu ambaye ana itikadi na historia yake. Ikiwa historia na itikadi zake haziwezi kuheshimika, ni dhahiri shahiri kwamba mtu huyo hana thamani yoyote. Hii ndio sababu naunga Seneta wa Kitui mkono. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}