GET /api/v0.1/hansard/entries/1425591/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425591,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425591/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Nampongeza Sen. Kibwana kwa kuweza kuudhamini Mswada huu kwa sababu utasaidia pakubwa kuinua mazao haya ya nazi pamoja na korosho katika kaunti za pwani ambapo mazao haya yanakuzwa kwa wingi. Kwa mfano, mazao ya nazi na korosho yanafanya vizuri sana katika kaunti za Kwale, Mombasa, Kilifi, Tana River na Lamu."
}