GET /api/v0.1/hansard/entries/1425592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425592,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425592/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ukosefu wa sheria kama hii kwa miaka mingi imefanya mazao haya yatupiliwe mbali na wananchi wanapata shida. Kifungu cha pili kinasema kwamba mazao haya ni pamoja na nazi, korosho, macadamia, njugu, sunflowe r, jojoba, simsim, bambara na mengineo mengi yatakayo tangazwa katika gazeti rasmi na Waziri wa Kilimo."
}