GET /api/v0.1/hansard/entries/1425600/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425600,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425600/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, zao la pareto lilikuwa linafanya vizuri sana. Hata hivyo, liliunganishwa na mazao mengine katika sheria ya AFA, na karibu ukulima wake kufa. Ninafikiri kuwa katika Kaunti ya Nakuru ambapo lilikuzwa kwa wingi halipo sasa. Kwanza kabisa kupea mazao haya sheria zao husika itasaidia pakubwa kuinua tena ukuuzaji na uuzaji wa mazao mbalimbali."
}