GET /api/v0.1/hansard/entries/1425601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425601,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425601/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kwamba kumekuwa na ukosefu wa utafiti wa mazao kama haya. Kule pwani ukipanda mnazi leo ni lazima ungojee miaka kumi ili upate zao la nazi. Siku hizi kuna variety ya mbegu zinazotoka kule Vietnam ambazo zinafanya mti wa nazi uwe tayari kwa muda wa miaka mitatu na unazaa karibu nazi 400 kwa kila zao. Utafiti ukifanyika utasaidia kuleta miti ambayo itakuwa inazaa kwa muda mdogo na pia kuongeza yale mazao ili wakulima wapate faida."
}