GET /api/v0.1/hansard/entries/1425602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425602/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Zao la korosho linafanya vizuri sana katika kaunti ya Kilifi, Kwale, Lamu na sehemu ya mpeketoni. Zao hili litafanya vizuri zaidi kama kutakuwa na utafiti wa mbegu zitakazoweza kuzaa kwa muda mfupi na kuongeza mazao ya wakulima. Hivi majuzi, nimelezwa kuwa, kulikuwa na mbegu nyingi za zao la korosho kule Kenya Agricultural and Livestock Research Organization (KALRO) Mtwapa. Gavana wa Tharaka Nithi, Mhe. Njuki, alizinunua zote. Hivi sasa, nasikia zao hili limeanza kufanya vizuri sana katika kaunti za Tharaka na Makueni ambako lilinaweza kukuzwa. Jambo la kusikitisha ni kwamba; kaunti zetu za pwani hazijawekeza kwa zao hili. Kwa mfano, hapo nyuma, kulikuwa na mtambo wa korosho wa Kilifi uliokuwa maarufu sana. Ulisaidia wakulima wengi wa korosho Kilifi kupata pesa, kusomesha watoto wao The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}