GET /api/v0.1/hansard/entries/1425607/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425607,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425607/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ikiwa Serikali itaajiri maafisa wa kilimo, kwa miaka chache ukusanyaji ushuru utaongezeka. Kama Seneta wa Embu kaunti, naunga mkono kilimo ambacho ni mojawapo ya manifesto ya Serikali ya Kenya Kwanza. Ni Mimi Seneta Alexanda Munyi Mundigi, daktari na Deputy Party Leader Katika Kenya Kwanza. Asante."
}