GET /api/v0.1/hansard/entries/1425676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425676,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425676/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Naibu wa Spika, swali ningependa kumuuliza Waziri ni ikiwa anayo uhakika kwamba ifikapo mwisho wa mwezi ujao, tutakuwa tunauza kahawa katika nchi ya Uingereza kwa sababu ndiyo inanunua kahawa nyingi sana kutoka Kenya. Haya ni ili tuwe na utulivu tukijua kwamba mambo yako sawa. Tusijipate pahali pembamba itakapofika Juni kisha tuambiwe hakuna soko. Atupe uhakika kwamba ifikapo Juni tutauza kahawa bila matatizo yoyote kuhusu sheria mpya za Muungano wa Nchi za Ulaya."
}