GET /api/v0.1/hansard/entries/1425700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425700,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425700/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "The Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": " Leo nimefurahia kwa sababu mambo ya kahawa ni ya wale wazee wako kijijini. Hiyo lugha tunayotumia imenifurahisha sana kwa sababu tunaongea na wakulima leo tukiwa Seneti. Kwa hivyo, Bw. Waziri, tuendelee vivyo hivyo na hii lugha ya taifa, ili tuwafikie wakulima vizuri."
}