GET /api/v0.1/hansard/entries/1425701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425701,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425701/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mithika Linturi",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
"speaker": {
"id": 69,
"legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
"slug": "franklin-linturi"
},
"content": " Nafurahi Bw. Naibu Spika kusikia kutoka kwa Seneta wa Makueni kuhusu zile juhudi wakulima wa Makueni wameweka ili kutusaidia kuzalisha kahawa. Tutashirikiana na wao na magavana wa ukambani akiwemo rafiki yangu, Mhe. Mutula Kilonzo, Jnr. Nimetembea huko mara nyingi na Makueni is my second county . Katika mpangilio wa Serikali kwa mambo ya upanzi wa miti, mimi ndio in charge of Makueni County. So, I frequently make visits to Makueni. Let me promise kwa sababu, japo mambo ya crop husbandry ambayo ni function ya county government, nitashirikiana nao. Tuko na Directorate ya crop proctection katika Wizara yangu inayojaribu kujenga uwezo kwa kaunti zetu na kuwasiliana na idara zile zingine nilizo nazo kwa mambo ya magojwa na utafiti na kujua kama kuna magonjwa fulani, ni dawa gani tunaweza kutumia ili tusaidiane kama kaunti. Kwa vile hayo mambo mheshimiwa ameyafikisha, kuna kazi kaunti inapaswa kufanya na pia sisi kama Wizara tunapaswa kufanya kazi yetu. Tutashirikiana na gavana wao. Kama kuna jambo wanataka sisi tusaidie na kuhusika pamoja, tuko tayari. Serikali za kaunti na ile ya kitaifa zinahudumia mwananchi mmoja."
}