GET /api/v0.1/hansard/entries/1425712/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425712,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425712/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mithika Linturi",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
"speaker": {
"id": 69,
"legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
"slug": "franklin-linturi"
},
"content": " Bw. Naibu, Spika, nitajaribu. Mbunge huyu ni mpya, with time ataelewa masuala ya Bunge. Tuko na jukumu la kusaidiana. Seneta yuko na bidii ya kutetea watu wake. This is required of any elected leader. Nimesikiza Mhe. Seneta akizungumza kuhusu viwanda na kuhakikisha pesa hazijavunjwa na mkulima amelipwa. Hili jambo ni la maana sana na ningependa kumjibu. Lakini naomba kuwe na a substantive question kwa hili jambo ili tuweze kufanya upelelezi vizuri na kujua with specifics, ni kiwanda kipi jambo hili linafanyika. Masuala ya uzalishaji na ukuzaji hayajaulizwa. Hii ingekuwa jukumu langu pia kushirikiana na Gavana wa Bungoma ili aweze kupata jibu kwa waliompigia kura. Swali hili linafaa nihusishe Wizara ya Viwanda kwani linaweza kujibiwa vizuri na Wizara hiyo. Kuhusu swali la pili aliloliuliza, nitaongea na Waziri mwenzangu ili Sen. Wafula apate jibu kamili. Naomba Seneta atueleze ni cooperative ipi ina hizo issues ili wakati Waziri atakapotayarisha rasimu ya kulijibu swali hili awe na that specific society andarea, so that we do not give a general or vague answer."
}