GET /api/v0.1/hansard/entries/1425756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425756/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": ".Sen. Tabitha Mutinda",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Nitajaribu kuitumia lugha hii ya taifa. Waziri, swali langu bado linahusiana na kilimo cha kahawa kulingana na mwelekezo wa Naibu Spika. Swali langu hasa ni kuhusu mbolea spesheli ya ruzuku ambayo wakulima wa kahawa hawapokei katika Kaunti ya Meru. Sehemu nyingine"
}